Posts

Wanasoka wa Tanzania waliopo nje ya nchi

Ni swali ambalo nimekuwa nikujiuliza kwa muda mrefu sasa. Hivi Tanzania tuna wanasoka wangapi wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi? Wanacheza katika timu za daraja gani, nchi gani na kadhalika. Pia hujiuliza ni kwa nini vyombo vya habari vya nchi hii haviwazungumzii sana? Tatizo lipo wapi? Habari zao ni ngumu kupatikana, ama ni sisi hatujui kuuza products zetu? Blog hii inajipanga kwa mwaka huu wa 2012 kuanza kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya watanzania hawa na kuziripoti kwenu kupitia mtandao huu Kaa mkao wa kula

Ngao ya Hisani Azam 2- Simba 2

Ni mapumziko katika mechi ya kugombea ngao ya hisani. Azam Fc wanaongoza kwa goli 2-1. Goli la simba limepatikana dakika ya 42 kwa njia ya penati. Dakika ya 69 simba wanasawazisha. Azam 2 - Simba 2

Ngao ya Hisani- Tanzania. Azam vs Simba

Azam yaongoza 1-0. 36" John Bocco aipatia Azam goli la pili. Simba wanashindwa kabisa kuhimili counter attacks za Azam

Goli walilofungwa Yanga Misri, Makosa ni yapi?

Kwa ufupi kabisa ni kuwa kosa kubwa kabisa la Yanga lilikuwa ni uzembe. Uzembe huu ulifanywa na wachezaji wa Yanga katika maeneo makuu yafuatayo;

1. Haruna Niyonzima alipaswa kujua nini cha kufanya katika kuondoa hatari pale walipokuwa wakishambuliwa. Haruna alijaribu kuweka mpira kifuani, mpira haukukaa vizuri akajaribu kumpatia Omega ambaye hakuwa mchezoni kwa wakati huo akajikuta akipoteza mpira huo.

2.Omega akafanya kosa lapili kwa kuto kuact mapema kumsumbua adui badala yake akageuka kuangalia refa kasemaje.

3. Cross ilipopigwa ikamkuta Mido hayuko marked kabisa, akapiga free header. mabeki wa kati na Nsajigwa hawakufanya kazi yao.

4. Endapo Kado ange dive kufuata mpira angeweza kuucheza mpira ule. kichwa cha Mido hakikuwa na nguvu sana, pia kilikuwa cha chini. Hakukuwa na sababu ya yeye kuusindikiza kwa macho

Wachezaji wanahitaji kuchangamka

Watanzania Wamlilia Maximo

Marcio Barcellos Maximo alimaliza mkataba wake wa kuinoa Taifa stars (Timu ya soka ya taifa ya Tanzania) mwaka 2010 mwezi wa saba, baada ya kuinoa timu hiyo kwa mafanikio kwa muda wa miaka minne. Kati ya mafanikio yaliyoletwa katika soka la Tanzania na mbrazili huyu ni pamoja na kurudisha mapenzi ya wapenzi wa mpira kwa timu yao ya Taifa.

Haikuwa kazi ndogo hata kidogo kwa mbrazili huyu kuifanya timu hii iwe kipenzi tena cha watanzania, ni juhudi ya hali ya juu iliyopelekea imani ya watanzania kwa timu yao kurejea tena. Na hii ilitokana na ukweli kuwa Taifa stars ikaanza kuwa mpinzani wa kweli mara inapokutana na timu mbalimbali za bara la Africa.

Misingi mikuu ya filosofia ya mwalimu huyu ilikuwa katika kujenga nidhamu ndani ya timu, umuhimu wa wachezaji kuthamini kazi yao hii ikiwa ni pamoja na kuzingatia mazoezi, umuhimu wa kujenga timu ya muda mrefu. Katika kuyafanikisha haya yote Maximo aliweza si tu kwa timu yake kuonyesha mchezo mzuri uwanjani bali pia aliweza kuwatumia vijana …

Goalkeeping - Handling

Goalkeepers have to be good shot-stoppers.


Their job is to prevent strikes on goal from entering the net. The following exercises give the goalkeeper the basics of how to handle and practice shots taken directly at the ’keeper.

1. HANDLING ALONG THE GROUND:

When there is a shot at the goal along the ground, the goalkeeper must use the scoop method to gather the ball with his hands behind the ball and his legs together (or kneel down).

2. WHEN THE BALL IS SHOT STRAIGHT AT THE KEEPER’S MIDRIFF:

The keeper must cup the ball into his body.

3. WHEN THE BALL IS SHOT TOWARDS THE KEEPER’S UPPER CHEST AND HEAD:

He can use the W Hand method to “take” or to catch the ball in front of his body using his fore arm with fingers and thumbs spread to the side of the ball and behind the ball to form a W shape with his hands.

4. WHEN THE BALL IS SHOT ON THE GROUND AND AWAY FROM THE KEEPER.

The keeper should dive and land on his shoulder and take or hold the ball with his first hand behind the ball and h…

Soccer Offside Tactics: Attacking – Part 1

Nice material I thought I should share itSoccer Offside Tactics: Attacking – Part 1